
Zuchu – Sukari Lyrics
Artist: Zuchu
Song: Sukari
Eyoo Trone
(Ayolizer)
Eti nimemlambisha
Ananiambia chombeza (Chombeza)
Tena nikiizidisha
Ananiambia koleza (Koleza)
Nikitaka kusitisha
Ananiambia ongeza (Ongeza)
Japo imedhibitishwa
Ila itampoteza
Ikipanda ni balaa (Naogopa)
Ikishuka ndo hatari (Naogopa)
Asijepata madhara (Naogopa)
Akaikosa na hali (Naogopa)
Ladha yake msala (Naogopa)
Shira ya Kizanzibari (Naogopa)
Na mi simpi mi wala
Akitaka nampa
Aii sukari (Nampatia)
Ah sugar sukari (Nampatia)
Sukari (Nampatia)
Ah sugar sukari (Nampatia)
Sukari (Nampatia)
Sugar sukari (Nampatia)
Sukari (Nampatia)
Ah sugar sukari (Nampatia)
Yelele, yelele…
Na akilia njaa
Ju njaa sifanyi ajizi
Namjazia jar
Ju jaa na vitangawizi
Baba chanja, baba chanja (Eeeh..)
Chukua vyote chukua (Eeeh..)
Vitafune nganja nganja (Eeeh..)
Chagua mwaya chagua (Kula)
Ujiboosti na karanga ee (Eeeh..)
Tuliza na kitumbua (Eeeh..)
Jihadhari na majanga wee
Usije ukaugua maana
Ikipanda ni balaa (Naogopa)
Ikishuka ndo hatari (Naogopa)
Asijepata madhara (Naogopa)
Akaikosa na hali (Naogopa)
Ladha yake msala (Naogopa)
Shira ya Kizanzibari (Naogopa)
Na mi simpi mi wala
Akitaka nampa
Aii sukari (Nampatia)
Ah sugar sukari (Nampatia)
Sukari (Nampatia)
Ah sugar sukari (Nampatia)
Sukari (Nampatia)
Sugar sukari (Nampatia)
Sukari (Nampatia)
Ah sugar sukari (Nampatia)
Nimroge kwanini kashaninogea
Dambua, dambua
Utamu wa sukari ni tamu kolea
Dambua, dambua
I say my boo dambua (Dambua)
We dambua (Dambua)
Halua halua (Dambua)
We dambua (Dambua)
Nasema da dambua (Dambua)
We dambua (Dambua)
Nawa kama unafua (Dambua)
Kiguru nyanyua (Dambua)
Find more lyrics at https://dcslyrics.com


Disclosure: As an Amazon Associate and an Apple Partner, we earn from qualifying purchases
Niko Pandetta – Colpevole
Landspeed – ace
Sukari Lyrics – English Translation
Eyoo trone.
(Ayolizer)
Eti I have attached him
He tells me to swall down
Again if I multiply.
Tells me to pick up (scaling)
If I want to cease
Tells me Add (Add)
Although it is confirmed
Except it will lose him
When riding is overwhelming (I fear)
Fading down dangerous (I fear)
Don’t get hurt (I fear)
Missed it with the state (I fear)
Its a masturbation flavor (i fear)
Zanzibari Shira (I fear)
And mi simpi mi nor
Asking Nampa.
AII sugar (I give him)
Ah Sugar sugar (I give him)
Sugar (I give him)
Ah Sugar sugar (I give him)
Sugar (I give him)
Sugar sugar (I give him)
Sugar (I give him)
Ah Sugar sugar (I give him)
Yelele, yelele …
And cries hunger
Ju hungry I do not absorb
Namjazia jar.
Ju jaa and galleries
Daddy, father grazing (Eeeh ..)
Take all Take (Eeeh ..)
Sloggle Aggregate (Eeeh ..)
Choose the Select (eat)
Kibloost and nuts ee (eeh ..)
Ask and trace (eeeh ..)
Beware of wee shocks
Don’t get sick of meaning.
When riding is overwhelming (I fear)
Fading down dangerous (I fear)
Don’t get hurt (I fear)
Missed it with the state (I fear)
Its a masturbation flavor (i fear)
Zanzibari Shira (I fear)
And mi simpi mi nor
Asking Nampa.
AII sugar (I give him)
Ah Sugar sugar (I give him)
Sugar (I give him)
Ah Sugar sugar (I give him)
Sugar (I give him)
Sugar sugar (I give him)
Sugar (I give him)
Ah Sugar sugar (I give him)
Nimroge why kashaninogea.
Damn, Damno.
The sweetness of sugar is sweet kolelea
Damn, Damno.
I SAY MY BOO DRINK (DRINK)
WE DRINK (DRINK)
HALUA HALUA (DRINK)
WE DRINK (DRINK)
I say da dwarf (dude)
WE DRINK (DRINK)
I WILL YOU FIND (DRINK)
Number Like (Damage)
Find more lyrics at https://dcslyrics.com
Zuchu Lyrics – Sukari
Please support our site by sharing it.
And please follow our site to get the latest lyrics for all your favourite songs.
Please support the artist and us by purchasing your favourite music thru our Amazon Music and Apple Music links 🙂


Disclosure: As an Amazon Associate and an Apple Partner, we earn from qualifying purchases
Release Year: 2021