Shine nuny – Nakaza Lyrics
Artist: Shine nuny
Song: Nakaza
Tonardo vibes…
Verse 1
Haya mapenzi mie eeh, mwenzenu sina hali
Nilio mpenda miee eeh, baby wake hamjalii…
Mwenzangu uzuri anao, anasifika kwenye mitandao
Anawaka anamng’ao, japo kizuri hakikosi kasoro
Bridge
Naasipo chunga chunga, atavurunda mwenzake nitambeba
Nitamng’ang’ania.. hata kuchi kuchi nitamchezea
Na akitaka tunda tunda, sitovunga sitombeza
Nitammegea nitamlisha kwa ulimi tuwe pair
Akilegeza mi nakaza kaza kaza, kaza kaza kazaaa (Nakaza)
Kaza kaza kaza, kaza kaza kazaa…. (Nakaza)
Kaza kaza kaza kaza, kaza kaza kazaaaa (Nakaza)
Kaza kaza kaza kaza, kaza kaza kazaaaa (Nakaza)
Verse 2
Nitazidisha visa mpaka nimeteke, nachagani sifa nyingi makeke
Kumchizisha nitajivisha na utepe dera, deraaa…
Nanilivyofundi fundi, ni kama gundi ikinasa haitoki
Tutakesha kama bundi na bado atasema haitoshiii…
Bridge
Naasipo chunga chunga, atavurunda mwenzake nitambeba
Nitamng’ang’ania.. hata kuchi kuchi nitamchezea
Na akitaka tunda tunda, sitovunga sitombeza
Nitammegea nitamlisha kwa ulimi tuwe pair
Akilegeza mi nakaza kaza kaza, kaza kaza kazaaa (nakaza)
Kaza kaza kaza, kaza kaza kazaa…. (nakaza)
Kaza kaza kaza kaza, kaza kaza kazaaaa (Nakaza)
Kaza kaza kaza kaza, kaza kaza kazaaaa (Nakaza)
Outro
Nitazidisha visa mpaka nimteke, nachagani sifa nyingi makeke
Kumchizisha nitajivisha na utepe dera
Nakazaaa….
Nakazaaa…
Tinoooo
Find more lyrics at https://dcslyrics.com

Disclosure: As an Amazon Associate and an Apple Partner, we earn from qualifying purchases
Oorbit – Alamavane
musica di strada – Боюсь
Nakaza Lyrics – English Translation
Tonardo vibes …
VERSE 1
This will mie eeh, its fellow state
IEE eeh that I loved, her baby have not tourism …
My colleague has beauty, is credited networks
Anawaka’s brightness, good though the Squad defects
Bridge
Naasipo shepherd tending, he will porter fellow vurunda
Nitamng’ang’ania .. even gamecock gamecock will dirty trick on poor
And he wanted the fruit fruit, I tovunga I tombeza
Nitammegea will be fed to the tongue pair
I press Akilegeza mi tighten tighten, tighten tighten kazaaa (Nakaza)
Tighten Tighten tighten, tighten tighten Kazaa …. (Nakaza)
Tighten Tighten tighten tighten, tighten tighten kazaaaa (Nakaza)
Tighten Tighten tighten tighten, tighten tighten kazaaaa (Nakaza)
VERSE 2
I will multiply visa until I kick, boasting many features nachagani
I Kumchizisha wears and ribbon dera, deraaa …
Nanilivyofundi mechanic, it does not come as a glue ikinasa
Tutakesha as owls and yet he says he itoshiii …
Bridge
Naasipo shepherd tending, he will porter fellow vurunda
Nitamng’ang’ania .. even gamecock gamecock will dirty trick on poor
And he wanted the fruit fruit, I tovunga I tombeza
Nitammegea will be fed to the tongue pair
I press Akilegeza mi tighten tighten, tighten tighten kazaaa (I press)
Tighten Tighten tighten, tighten tighten Kazaa …. (I press)
Tighten Tighten tighten tighten, tighten tighten kazaaaa (Nakaza)
Tighten Tighten tighten tighten, tighten tighten kazaaaa (Nakaza)
Outro
I will multiply visa until nimteke, nachagani adulation vexation
I Kumchizisha wears and ribbon dera
Nakazaaa ….
Nakazaaa …
Tinoooo
Find more lyrics at https://dcslyrics.com
Shine nuny Lyrics – Nakaza
Please support our site by sharing it.
And please follow our site to get the latest lyrics for all your favourite songs.
Please support the artist and us by purchasing your favourite music thru our Amazon Music and Apple Music links 🙂

Disclosure: As an Amazon Associate and an Apple Partner, we earn from qualifying purchases
From the album:
Mama
Release Year: 2022