Leyla Rashid – Langu rohoni

Leyla Rashid Langu rohoni

Leyla Rashid – Langu rohoni Lyrics

Artist: Leyla Rashid
Song: Langu rohoni

Hii ndio dunia dunia rangi rangiree
Na watu kwenye dunia aso hili ana lile
Hii ndio dunia dunia rangi rangiree
Na watu kwenye dunia aso hili ana lile

Mdomoni silitoi jamani langu rohoni
Na nyamaza sikosei namuachia Mananii
Sipendi kusema naogopa lawama
Walimwengu nawajuaaa

Japo yatauma mambo yawanadama
Bora kuwapotezeaaa
Sipendi kusema naogopa lawama
Walimwengu nawajuaaa

Japo yatauma mambo yawanadama
Bora kuwapotezeaaa
Walivyo ni andama japo roho yaniuma
Lakini nina tuliaaa

Walivyo ni andama japo roho yaniuma
Lakini nina tuliaaa
Sikuzoea kusema kubishana
Na wanadaaama sijuti nasito jutia

Sikuzoea kusema kubishana
Na wanadaaama sijuti nasita jutia
Wenye maneno huwa namuangalia
Wala ubaya sijengi wote nampotezea

Wenye maneno huwa namuangalia
Wala ubaya sijengi wote nampotezea
Mwenye maneno huwa namuangalia
Wala ubaya sijengi wote nampotezea

Najua hii ndio dunia dunia rangi rangiree
Na watu kwеnye dunia aso hili ana lile
Najua hii ndio dunia dunia rangi rangiree
Na watu kwenyе dunia aso hili ana lile

Lolote lile watakutafutia
Ili upate upige kelelee
Mie mdomo sitaufunua
Ndio kawaida yangu milele

Lolote lile watakutafutia
Ili upate upige kelelee
Mie mdomo sitaufunua
Ndio kawaida yangu milele

Wajinga wajinga nawapotezeaaaaa
Katu hawanipigishi keleleeee
Binadamu ndio wamezoea
Kuyazusha hili nalileee

Wajinga wajinga nawapotezeaaaaa
Katu hawanipigishi keleleeee
Binadamu ndio wamezoea
Kuyazusha hili nalileee

Bora yakae rohoni nifanye hamsini zangu
Nisijikondoeshee bureeeh
Malipo ni kwa manani kwa yote ya walimwengu
Msijitee kihereeee

Bora yakae rohoni nifanye hamsini zangu
Nisijikondoeshee bureeeh
Malipo ni kwa manani kwa yote ya walimwengu
Msijitee kihereeee

Yangu langu mimi rohonii
Sili silitoi mdomonii
Langu langu mimi rohonii
Sili silitoi mdomonii

Sio kama siwezi kusema naweza mpaka kukeshaa
n#z#epuka lawama zingine zinakondeshaa
Sio kama siwezi kusema naweza mpaka kukeshaa
n#z#epuka lawama zingine zinakondeshaa

Watao cheka namie nami nitacheka nae
Mwenye hasama na mie nitakaa mbali nae
Ugomvi siwezi mie bora ni mpotezeeee
Hahahahaah haiiyaaa

Kuka kimya ni jibu la mjingaa
Find more lyrics at https://dcslyrics.com

You can purchase their music thru
DCSLyrics.com Amazon Music    DCSLyrics.com Apple Music
Disclosure: As an Amazon Associate and an Apple Partner, we earn from qualifying purchases

Langu rohoni Lyrics – English Translation

This is the world the world color race
And people on this world have that has that
This is the world the world color race
And people on this world have that has that

Oral I don’t give my soul into the spirit
And quiet I am not mistaken I leave the sins
I don’t like to say I’m afraid to blame
The world I know

Although it hurts things to do
Better to lose them
I don’t like to say I’m afraid to blame
The world I know

Although it hurts things to do
Better to lose them
They are an Andama though the soul hurts me
But I’m dead

They are an Andama though the soul hurts me
But I’m dead
I am not accustomed to say arguing
And they say I don’t regret Nasito Jutia

I am not accustomed to say arguing
And they say I don’t regret Niki Jutia
The words I look at him
Neither evil I am not all of him losing him

The words I look at him
Neither evil I am not all of him losing him
The words I look at him
Neither evil I am not all of him losing him

I know this is the world the world colored color
And people in the world aso has that
I know this is the world the world colored color
And people in this world aso has that

Whatever they will find you
To get a noise
I will not reveal it
That’s my usual ever

Whatever they will find you
To get a noise
I will not reveal it
That’s my usual ever

Stupid fools I lose you
They don’t shout at me
Humans are accustomed
To bring this to this

Stupid fools I lose you
They don’t shout at me
Humans are accustomed
To bring this to this

Better to stay spiritually do I make my fifty
Don’t let myself freeeeeh
Payment is for Manani for all of the worlds
Do not find yourself inhearteee

Better to stay spiritually do I make my fifty
Don’t let myself freeeeeh
Payment is for Manani for all of the worlds
Do not find yourself inhearteee

Line I am the spirit
I do not give up the mouth
Line I am the spirit
I do not give up the mouth

It’s not like I can’t say I can till you watch
I Avoid Other Blames Loss
It’s not like I can’t say I can till you watch
I Avoid Other Blames Loss

They will laugh with me and I will laugh with him
Hasamama and mie I will stay away from him
Conflict I can’t Mie the best is to lose
Hahahahaaah Haiiyaaa

Silence is the answer of the Single
Find more lyrics at https://dcslyrics.com

Leyla Rashid Lyrics – Langu rohoni

Please support our site by sharing it.
And please follow our site to get the latest lyrics for all your favourite songs.

Please support the artist and us by purchasing your favourite music thru our Amazon Music and Apple Music links 🙂

You can purchase their music thru
DCSLyrics.com Amazon Music    DCSLyrics.com Apple Music
Disclosure: As an Amazon Associate and an Apple Partner, we earn from qualifying purchases

Release Year: 2015