Juma Nature – Sitaki Demu

Juma Nature Sitaki Demu

Juma Nature – Sitaki Demu Lyrics

Artist: Juma Nature
Song: Sitaki Demu

Sitaki demu
Nakuomba usije kwetu Ma mdogo utatutia hasara
Huyo mdogo wangu mwenyewe toka atoke shule hajala
Aaaah’ bwana eh usinafate bana, we siukalale uwape mbu faidi bwana

Hivi aliye (?) Taa humu ndani nani?
Kila ukija we nyumbani’ unaondoka
Kila ukija we nyumbani’ unaondoka
Nimetokea upande wa pili nimeenda kwa kina Bashiri

Na usije kwetu hakuna kitenge wala kanga
Shauri ukija wazazi wangu watakuona mwanga
Nakumbuka ile siku ambayo ulinisemelea’ kwa dingi
Ukadai ya kwamba mimi huwa nachanganya mitungi, napenda kula ganja kila siku’ sijivungi

Ukaondoka na cheko nyuma ukaacha kivumbi
Haya sasa siunaona mwenzio umeniachia zogo
Mjeruhi wa simba chui mjeruhi wa mbogo umesababisha hata majirani wananitupia kisogo
Tena usinibishie maana nitakupa kidochi >> chi chi chi

Tatizo linanisumbua mi sitaki unung’unike wakati unapita wiki mi ndio mie anishike
Halafu usineletee zile zako za kike kike
Nakuanzia muda huu mi na udhu usinishike
Afadhali demu mwenyewe ungekuwa unachunga domo hapo ningejipa moyo kwamba unaelewa somo

Tena angalia sana usinizuge na shikamoo aya sasa nimegahiri nenda kwa huyo J-Moe
Walimwengu walikwisha niambia kuwa demu wangu mimi hafai >> hafai
Mimi nikawabishia nikawaona wao kuwa ndio hawafai >> hawafai
Lakini sasa mi najuta’ sitaki demu, sihitaji demu ( Sitaki demu ) bora nitafute mchumba ( Sitaki demu )

Sihitaji demu ( Sitaki demu )
Ukimchekea nyani shambani atakusumbua utayavuna mabua na usiombee wenzio kujua’ watakucheka
(?) Juu ya mkong’oto nliopanga hata uki wanga
(?) Inaruhusa (?). we kisu– uliye suswa mpaka ukaamua kuwaambia wenzio kuwa unanirusha, unanirusha!

Ukome kunizushia tena usilete za kizushi kwanza nshaacha uhuni unistuki kwa kicherema wala kipande cha mbuni
Mkongwe naitwa kiblah mwenye (?) hachunwi’ mradi nshapima nshaonekana sina ngoma, we bado hujakoma!
Nimekwambia sitaki demu ukinifatilia nakushtaki
Nikitoka hapa nikirudi sitaki kukuona umebaki

Kujificha kwenye kabati au kufia andaki msichana gani mhuni kila siku unaongwa laki hata kama ni njaa mama hii hapa imezidi
Niache niwe free nimpate yule nnaye mtaka ambaye najua ntatumia muda wangu kumsaka
Mtoto aliye wa kweli ni (?)
Mwenye uwezo wa kuishi kwenye mshelisheli

Sitaki demu
Hebu huko >> Jamani
Huyu demu ni mtoto wa Mzee Mwalubadu yule mzee mfupi anaongoza kwa kufua ngadu
Na tena una bahati dada yangu sijakuoa ningekupa talaka (?) na matukio yote we mtu gani muhuni unatambulika njia zote

Amba tamba zako bwana unitishi lolote
Walimwengu walikwisha niambia kuwa demu wangu mimi hafai >> hafai
Mimi nikawabishia nikawaona wao kuwa ndio hawafai >> hawafai
Lakini sasa mi najuta’ sitaki demu, sihitaji demu ( Sitaki demu ) bora nitafute mchumba ( Sitaki demu )

Sihitaji demu ( Sitaki demu )
Sitaki demu
Walimwengu walikwisha niambia kuwa demu wangu mimi hafai >> hafai
Mimi nikawabishia nikawaona wao kuwa ndio hawafai >> hawafai

Lakini sasa mi najuta’ sitaki demu, sihitaji demu ( Sitaki demu ) bora nitafute mchumba ( Sitaki demu )
Sihitaji demu ( Sitaki demu )
Sitaki demu
Sitaki demu

Sitaki demu
Find more lyrics at https://dcslyrics.com

You can purchase their music thru
DCSLyrics.com Amazon Music    DCSLyrics.com Apple Music
Disclosure: As an Amazon Associate and an Apple Partner, we earn from qualifying purchases

Sitaki Demu Lyrics – English Translation

I don’t want demu
I beg you not to come to us the little one will cost us a loss
My own little one from school is not eating
Aaaah ‘sir eh don’t follow you, we don’t give you mosquitoes to benefit sir

Who is he (?) Who in here?
Whenever you come home ‘you leave
Whenever you come home ‘you leave
I came from the other side I’ve gone deep to Boys

And don’t come to us no Kitenge or Kanga
As soon as you come my parents will see you light
I remember the day you spoke to me ‘for dingi
You claim that I usually mix jars, I would like to eat a ganja every day ‘

You left with a laugh back and left the dust
Now I don’t see your partner you have left me a zogo
Lion Lion’s injured leopard of the bull has caused even neighbors throwing me back
And don’t bother me because I will give you a puppy >> chi chi

The problem is bothering me I don’t want you to complain when it passes a week.
Then don’t bring your female female
I start this time and do not hold me
I would rather demu yourself you would be looking after the mouth and I would encourage myself that you understand the lesson

And look too closely not to me and the paragraph now I have circumcised go to that j-moe
The worlds have already told me that my demu I don’t have >> is not good
I gave them to see them as they were not worth >> they were not worth
But now mi I regret ‘I don’t want demu, I don’t need demu (I don’t want the best) to look for a fiancé (I don’t want demu)

I don’t need demu (I don’t want demu)
If you laugh at the monkeys in the field he will bother you you will harvest the stalks and don’t pray for others to know ‘they will laugh at you
(?) On the crocodile I planned even uki carbohydrates
(?) It is allowed (?). We knife- you were tired until you decided to tell your colleagues that you threw me, you threw me!

Stop to keep me back from bringing myths first and I leave a hug of the unlawful
A veteran is called Kiblah with (?) He does not take ‘the project I have seemed to have no dance, you have not yet stopped!
I told you I don’t want demu if you follow me and accuse you
When I leave here I come back I don’t want to see you remain

Hiding in a cupboard or dying what a girl every day is stuck even though it is hungry this mother is overwhelming
Let me be free to find the one who is the one who I know I will spend my time looking for him
The true child is (?)
Capable of living on a Sylumelist

I don’t want demu
Let there >> Germany
This demu is the son of an elderly man.
And again you are lucky my sister I did not marry you I would divorce you (?) And all the events are the person you are aware of all the ways

WHY YOUR LORDS LIFE
The worlds have already told me that my demu I don’t have >> is not good
I gave them to see them as they were not worth >> they were not worth
But now mi I regret ‘I don’t want demu, I don’t need demu (I don’t want the best) to look for a fiancé (I don’t want demu)

I don’t need demu (I don’t want demu)
I don’t want demu
The worlds have already told me that my demu I don’t have >> is not good
I gave them to see them as they were not worth >> they were not worth

But now mi I regret ‘I don’t want demu, I don’t need demu (I don’t want the best) to look for a fiancé (I don’t want demu)
I don’t need demu (I don’t want demu)
I don’t want demu
I don’t want demu

I don’t want demu
Find more lyrics at https://dcslyrics.com

Juma Nature Lyrics – Sitaki Demu

Please support our site by sharing it.
And please follow our site to get the latest lyrics for all your favourite songs.

Please support the artist and us by purchasing your favourite music thru our Amazon Music and Apple Music links 🙂

You can purchase their music thru
DCSLyrics.com Amazon Music    DCSLyrics.com Apple Music
Disclosure: As an Amazon Associate and an Apple Partner, we earn from qualifying purchases