
Ibraah – Hayakuhusu Lyrics
Artist: Ibraah
Song: Hayakuhusu
Kutaka kulea wakati
Unalelewa, lazima uvunjie
Watu wazima heshima
Punguza
Mozea, unacare, wakati
Umemtelekeza fahyma
Achana na walio
Kutangulia, wakati kesho
Yako hujui utakako
Angukia, unaweza wasafi
Ukatimuliwa, na kondegang
Ukaja kusainiwa
Unashindana na
Mwanajeshi, ambayo vita
Aliianza babako na hamuwezi
Msalimie
Kiparandezi, mwambie hata
Akikesha kwa
Songoma, katu hatuwezi
Nyimbo kaimbiwa
Kajala, karaoke na
Kupitapita acha apapara
Aaaaah wee
Nasikia unachimba
Mikwara, hauna chochote
Mapenzi ya konde na kajala yanakuhusu
Nini kaka wee
Find more lyrics at https://dcslyrics.com


Disclosure: As an Amazon Associate and an Apple Partner, we earn from qualifying purchases
Ibraah – Nani
Ibraah – Wawa
Hayakuhusu Lyrics – English Translation
Wanting to raise time
You are raised, you must be exposed
Adult respects
Limit
Mozea, unacare, while
You have abandoned Fahyma.
Abandon those
Precede, while tomorrow
Your you don’t know you will be
Fall, you can clean
Counted, and Kondegang
Come to be signed
You compete with
Soldier, which war
He started his father and can’t
MSALIMIE.
Meeting, tell even
Watching for
SONGOMA, THAT WE
Kaimbiwa songs
Kajala, karaoke and
Passing Leave APAPARA.
Aaaaah Wee.
I hear you dig
Mikwara, don’t have anything
The Football and Kajala are about you
What a wee brother.
Find more lyrics at https://dcslyrics.com
Ibraah Lyrics – Hayakuhusu
Please support our site by sharing it.
And please follow our site to get the latest lyrics for all your favourite songs.
Please support the artist and us by purchasing your favourite music thru our Amazon Music and Apple Music links 🙂


Disclosure: As an Amazon Associate and an Apple Partner, we earn from qualifying purchases
Release Year: 2020