Fivara – Laana

Fivara Laana

Fivara – Laana Lyrics

Artist: Fivara
Song: Laana

Ah!
Nianze na GOATs msingeni’inspire ningewa’inspire nyie
Hii kauli ka’ ile, “Usingenizaa ningekuzaa mie”
Naomba mtulie ili dawa iwaingie

Na naahidi atakaejibu hii lazima nimrudie
Amna mchango zaidi ya kuwa ma’rapper mliopita
Mliotangulia na sasa inasikitisha
Mambo mnayofanya yanawashusha kabisa

Sawa na mama ambae akivaa tu vijana wanadisa
Kwanza nyie ni wanafki, wabinafsi
Watu wazima mmezidiwa moves hadi na Mondi Wasafi
Hivi hamumuoni Jigga? Hamumuoni Nas?

Ebu tuachieni gepu sio kushindana nasi
Mnafanya ngoma kiboya ili mbaki kwa chart
Style za miaka hii hamuwezi bora tu mka’relax
Tatizo wengi wenu mshabugi

Mbele hamuendi naona nyuma mnarudi
Baada ya kuwa moguls nyie mnakuwa chawa
Wengine mmeingia hadi bungeni lakini bado mnapagawa
Ngoja niseme hii maana naona haiko sawa

Legacy yako unafuta mwenyewe kwa kupona madawa
Umefanya vitu vikubwa unakosa hata mbawa
Unabaki kulalamika unaona hakuna usawa
Siwavunjii heshima, heshima mnavunja wenyewe

Mnatoa maboko hadi tunauliza, “Hii katunga mwenyewe?”
Mnafeli pakubwa, nawachana wakubwa
Hasheem aligundua mapema basi akastaafu muda
Tatizo hamkuwa smart mngekusanya fuba

Sasa mnageuka ma’wack hadi tunawaona wakuja
Ah!
Hata wajinga wanazeeka (Ndio)
Sio kila mzee ana hekima

Mlichofanya kweli mlieleweka (Ndio)
Sasa hivi yamebaki majina
Mna shobo kwa presenters mnapelekwa na media
Nyie wadogo kwa presenters mnavyoteswa na media

Hadi huruma miaka mingi kwa game
Bado mnateseka mnasaka kipimbi fame
Huu ni muda wetu kimepita kipindi chenu
Zitakuaje nyumba zetu tukifuata misingi yenu?

Najiuliza tu, kwenu jealousy ni tatizo
Hamuoni Khaligraph hivyo ndio legacy ilivyo
Sisemi muanzishe labels au mfanye cyphers
Au mtubebe kama stoner anavyobeba lighter, Nah!

Siwafundishi kuwa ma’legend
Ila ukishindwa kuwa Papa nakurudisha kuwa Perege
Bado mna usela mavi mnapiga milege
Na jinsi mnasota kutoka, sasa Fiva iweje?

Hii sio diss ni disconnect kati ya Zao na nilipo
Wala sio fix, ukitaka correct nifuate nilipo
Halafu sitaki Co-sign, msaada, ushauri, ujiko
Kitachowaepusha na hizo aibu ni kaburi na kifo

No hard feelings my people
Hip-Hop ni expression, leo nakiwasha zaidi ya jiko
Najua, mkubwa hasemwi hata akijamba
Nimeamua mkimaindi nifuateni mi nipo Mwanza

Navyorusha hili Kombeo sio la mwisho au la kwanza
Mna stress hivyo vileo kwenu suluhisho la kwanza
I got no problems to be the Villain
Kila zama na nabii, wa sasa sio zama zile

Sasa kuna dokta Mwaka tushamsahau Ambikile
Hivyo idea mkitaka mtanifuata niwaandikie, What’s up
Mh! Mh! To whom it may concern you know
To whoever fits the description
Find more lyrics at https://dcslyrics.com

You can purchase their music thru
DCSLyrics.com Amazon Music    DCSLyrics.com Apple Music
Disclosure: As an Amazon Associate and an Apple Partner, we earn from qualifying purchases

Laana Lyrics – English Translation

Ah!
Let me start with yourselves Goats ni’inspire I wa’inspire you guys
This statement ka ‘that, “I bear Usingenizaa mie”
May I be still to remedy iwaingie

And I promise this will necessarily come back kaejibu
Amna contribution that ma’rapper who have passed
Previous and current deplorable
What you are doing quite yanawashusha

Similar mother who was wearing only young disa
First you’re a deceit, selfish
Adults are overwhelmed moves up and Mondi Clean
Do not you umuoni Jigga? Hamumuoni Nas?

Let us Wieni gepu not compete with us
What are you doing to stay drum Expand ART
Style of this year you will not only better the’relax
The problem many of you mshabugi

Forward ye walked back to see you back
After that moguls’ You have lice
Others have come up in parliament but are still possessed
Let me say this because I see it is not the same

You erase your own Legacy with drug recovery
You have done great things you missed Wings
You retain complain you have no equity
Siwavunjii honor, respect you break themselves

You give Maboko until we asked, “This katunga own?”
Mnafeli significantly, older nawachana
Hasheem discovered early and he retired a
The problem would not be smart collected Fuba

Now you turn ma’wack until we see it coming
Ah!
Even fools are older (YES)
Not every old man is wise

What made you really understood (Yes)
Now remained titles
You have ostentation for presenters are sent to the media
You scale the presenters are oppressed and media

So pity many years to game
Still you suffer you restrict hyrax fame
This is our time has passed your session
Zitakuaje our house we follow on you?

I just wonder, you jealousy is a problem
Do not you see that the legacy is Khaligraph
I’m not worthy start to do labels or cyphers
Or carry our as Stoner takes along the lighter, Nah!

Siwafundishi be ma’legend
But you failed Papa nakurudisha that Tilapia
Still no Usela dung you call Milege
And how are languishing from now Fiva what?

This is not a diss Disconnect between Zao and I am
Not fix, if you want to correct when I follow
Then I want to Co-sign, support, advice, stove
Kitachowaepusha and the shame is grave and death

No hard feelings my people
Hip-Hop is the expression, today more nakiwasha stove
I know, even though he described as massive fart
I decided to follow you INDI mi am Mwanza

This Navyorusha Slingshot not last or first
Stress that alcohol is no solution to you first
I got no problems to be the Villain
Each era and prophet, now is not that time

Now there dokta In tushamsahau Ambikile
So if you want an idea followed me to write to you, What’s up
Ed! Ed! To Whom it may concern you know
To whoever fits the description
Find more lyrics at https://dcslyrics.com

Fivara Lyrics – Laana

Please support our site by sharing it.
And please follow our site to get the latest lyrics for all your favourite songs.

Please support the artist and us by purchasing your favourite music thru our Amazon Music and Apple Music links 🙂

You can purchase their music thru
DCSLyrics.com Amazon Music    DCSLyrics.com Apple Music
Disclosure: As an Amazon Associate and an Apple Partner, we earn from qualifying purchases

From the album:
OG (Old Gangster)
Release Year: 2021