
Datty Tz – Varuu Lyrics
Artist: Datty Tz
Song: Varuu
Aahhh
Mwezenu nikilewa ahh nawaza chini
Napata ngekewa mi namwaga madini
Uyuu demu mchokozi sema unataka nini
Nikupe mapesa ama unataka nini
Nikuchune chuna pesa ipo we chuna
Maana juu safi chini safi
Mbele safi je nyuma safi ?
Aahhh ila we mtoto wewe
Ilo wezere ilaaa unajua nini
Varuu ni ufala varuu ahaa
Varuu ni ufala varuu ahaa
Varuu ni ufala varuu ahaa
Varuu ni ufala varuu ahaa
Varuu ni ufala varuu ahaa
Mi pisi kali nina magari
Mambo yangu motomoto nyumba za kifari
Sio ulete utani nina hatari
Si unajiweza usiogope mwaga dolarii
Si unanitaka kweli au maigizo
Si unanitaka kweli utaweza kuingiza
Kakakaa kakakakak akaa
Kakakaa kakakakak akaa
Nikuchune chuna pesa ipo we chuna
Maana juu safi chini safi
Mbele safi je nyuma safi ?
Hhaaha ila wanaume wengine wanafosi
Kuchunwa ndugu yangu daaah
Sema sio kesi, Semaa
Varuu ni ufala varuu ahaa
Varuu ni ufala varuu ahaa
Varuu ni ufala varuu ahaa
Varuu ni ufala varuu ahaa
Varuu ni ufala varuu ahaa
Varuu ni ufala varuu ahaa
Varuu ni ufala varuu ahaa
Varuu ni ufala varuu ahaa
Varuu ni ufala varuu ahaa
Varuu ni ufala varuu ahaa
Kazuu vibess
Find more lyrics at https://dcslyrics.com


Disclosure: As an Amazon Associate and an Apple Partner, we earn from qualifying purchases
DracoSAVAGE – KATON GOUKAKYUU NO JUTSU
Bakers Eddy – Valuable Things
Datty Tz Lyrics – Varuu
Please support our site by sharing it.
And please follow our site to get the latest lyrics for all your favourite songs.
Release Year: 2022