
Diamond Platnumz – Ramadhan Lyrics
Artist: Diamond Platnumz
Song: Ramadhan
Faraja faraja mwezi umefika tena
Tulomngoja kaja tuzichume neema
Mola nijalie na mi hisani (Amiin)
Na sadaka nizijali (Amiini)
Nipe rizki za halali (Amiin)
Karimaaaaa
Niwezeshe pia futari (Amiin)
Kwa wenzangu wasio na hali
Oooh yarabi tafadhali (Amiin)
Karimaaaaa
Ooh mi mwanadam sijakamilika na madhaifu
Na pia unafahamu
Tunaishi kwenye dunia ya majaribu Allah
Nilindie iman Mola imani mola
Funga yangu iwe salama
Funga yangu iwe salama
Yaah Ramadhan
Yaah Ramadhan
Yaah Ramadhan
Yaah Ramadhan
Yaah Ramadhan
Yaaah aaaah
Yaaaaaaah aaaaaaaaah
Alhamdulillah Alhamdulillah
Umenipa pumzi
Nimeuona tenaa
Wallah furaha wallah furaha
Nipo tayari mvuvi kuvua neema
Yarabi nafsi yangu
Roho yangu ijaze imani
Nirindie funga yangu ibada yangu
Na mingi mitihani
Mwezi ulo mwema uja kwetu waumini
Funga ni imara afya kwetu mwilini
Ni vyema kutolala kumi la mwisho
Kesha msikitini
Tupate na maghfira kwa mola manani
Nilindie iman mola iman mola
Imanii funga yangu iwe salama
Yaah Ramadhan
Yaah Ramadhan
Yaah Ramadhan
Yaah Ramadhan
Enyi waja wenzangu tulojidhurumu nafsi zetu
Tusikate tamaa na rehma za mwenyezi Mungu
Hakika mwenyezi mungu
Usamehe dhambi zote
Yeye ni mwenye kusamehe
Na mwenye kurehemu
Aswahumu lii
Funga ni yake yeye
Waanaajizib
Na yeye ndie anaelipa
Find more lyrics at https://dcslyrics.com


Disclosure: As an Amazon Associate and an Apple Partner, we earn from qualifying purchases
Diamond Platnumz – Gimmie
Diamond Platnumz – Naanzaje
Ramadhan Lyrics – English Translation
Comfort The new Comfort has come again
Tulimt wait tuzichume grace
Mola Nice and Mi charity (AmiIn)
And the offering I care about (AMIINI)
Give me legitimate rizki (amiin)
Karaamaaaaa.
Enable me too futari (amiin)
For mysterious colleagues
Oooh yarabi please (amiin)
Karaamaaaaa.
Ooh MI Sandam is immune to the flaws
And you also know
We live on the World of Trials Allah
Ninindie Iman Lord Faith Mola
Shut up my safe
Shut up my safe
Yaah ramadhan.
Yaah ramadhan.
Yaah ramadhan.
Yaah ramadhan.
Yaah ramadhan.
Yaaah aaaah.
Yaaaaaaah aaaaaaaaah.
Alhamdulillah Alhamdulillah.
You have given me a breath
I have seen againa.
Wallah happy Wallah happy
I am already a fisherman fishing grace
Yarabi my soul
My soul to complete faith
Nirindie close my worship
And many examinations.
The moon of you can come to us believers
Close is a solid health for us in the body
It is advisable to sleep last ten
Keep the mosque
Getting and forgiving for Mola,
Ninite Iman Mola Iman Mola
Faith Lock me be safe
Yaah ramadhan.
Yaah ramadhan.
Yaah ramadhan.
Yaah ramadhan.
O fellow servants we face our souls
Let us not disappoint with Allah’s blessings
Lo! Allah.
Forgive all sins
She’s a forgiving
And the merciful
Asgahumu lii.
Close it is her
Anaajazib.
And he is telling it
Find more lyrics at https://dcslyrics.com
Diamond Platnumz Lyrics – Ramadhan
Please support our site by sharing it.
And please follow our site to get the latest lyrics for all your favourite songs.
Please support the artist and us by purchasing your favourite music thru our Amazon Music and Apple Music links 🙂


Disclosure: As an Amazon Associate and an Apple Partner, we earn from qualifying purchases
Release Year: 2017